LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 12, 2019

RAIS MAGUFULI AZINDUA SAFARI ZA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZA DAR ES SALAAM- MPANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Katavi  ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Katavi na Wilaya zake

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages