Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja
wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Marehemu James Mapalala
Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika
Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia
Bi. Hannah Mapalala Mke wa Marehemu James Mapalala alipokwenda na Mkewe
Mama Janeth Magufuli kutoa pole nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na
mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Osterbay jijini Dar es
salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki
jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisali Sala maalumu ya kumuombea pamoja na
Familia ya Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama
vingi nchini Marehemu James Mapalala walipokwenda kutoa pole nyumbani
kwake Osterbay jijini Dar es salaam. Marehemu James Mapalala alifariki
dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam
alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsalimia Benard James Mapalala (Mtoto wa Marehemu James Mapalala)
alipokwenda na Mkewe Mama Janeth Magufuli kutoa pole nyumbani kwa
Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini
Osterbay jijini Dar es salaam, aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika
Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na waombolezaji wengine walipokwenda
kutoa pole kwa familia ya Marehemu James Mapalala ambaye ni Mwanasiasa
Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini, nyumbani
kwake Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019
katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa
matibabu.
PICHA NA IKULU












No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇