Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga
mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Umati
wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela
Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
Sehemu
ya Wananchi wa Sumbawanga waliohudhuria mkutano wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika
katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuwahutubia
katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇