Mstaafu Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Elison Simon akizungumza na wanachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno (pichani hawapo) kabla ya kuwavisha makoti meupe, Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mstaafu Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Elison Simon (kulia) akizungumza na wanachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno kabla ya kuwavisha makoti meupe, Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
Mstaafu Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Elison Simon akizungumza na wanachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno (pichani hawapo) kabla ya kuwavisha makoti meupe, Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam. Kulia na Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Matilda mlangwa
Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Matilda mlangwa (kulia) akizungumza na wanachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno (pichani hawapo) kabla ya kuwavisha makoti meupe, Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.. Kushoto ni Mstaafu Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Elison Simon
Madktari wapya wa Kinywa na Meno wakila kiapo.
Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Matilda mlangwa (kulia) akiwaapisha Madaktri wapya wa Kinywa na Meno
Mstaafu Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Elison Simon (kushoto) akimvisha koti jeupe mwanachuo mpya wa Udaktari, Natasha Chillumba Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam
Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Matilda mlangwa (kushoto) akimvisha koti jeupe mwanachuo mpya wa Udaktari, Lightnss Mbilla, Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam
Mkuu wa Chuo cha Wanganga Wasaidizi wa Meno Muhimbili (ADO) Dkt. Sarah Isodore akimvisha koti jeupe mwanachuo mpya wa Udaktari Fakihi Mshangama wakati wa Hafla ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam
Baadhi wa nawachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno wakiwa wamevaa makoti mara maada ya kuvishwa.
Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, Dkt. Matilda mlangwa katikati (mwenye skafu) akiwa katika picha ya pamoja na Madktari wapya wa Kinywa na Meno
Your Ad Spot
Oct 31, 2019
Home
featured
habari picha
MSTAAFU SHULE YA SKULI YA KINYWA NA MENO MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUWAVISHA MAKOTI MEUPE WANACHUO WAPYA WA UDAKTARI WA KINYWA NA MENO
MSTAAFU SHULE YA SKULI YA KINYWA NA MENO MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUWAVISHA MAKOTI MEUPE WANACHUO WAPYA WA UDAKTARI WA KINYWA NA MENO
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇