Mahkama ya Rufaa nchini Tanzania imeitaka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubadili vifungu vya sharia ya ndoa vinavyomruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18 kwa lengo la kutoa usawa baina ya mtoto wakike na wakiume.
Kwa mujibu wa tamko la awali la serikali, sheria iliyoweka umri wa miaka 18 inakiuka katiba kama ambavyo pia inakiuka usawa kati ya mtoto wa kiume na wa kike.

Aidha ilisema kuwa, kumruhusu mtoto wa kike aolewe hata chini ya umri huo, ilikuwa ni kumsadia mtoto huyo, hasa kwa kuzingatia kuwa mtoto huyo anawahi kubalegh mapema, na kwamba kuendelea kumzuia, ni kumnyima haki yake ya kimsingi.
Kwa maelezo zaidi tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Dar es Salaam, Ammar Dachi…………/
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇