Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sektaya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (kushoto), akijibu hoja za hesabu za Sekta yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu zaSerikali (PAC), jijini Dodoma. kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Nangenjwa Kaboyoka
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Nangenjwa Kaboyoka (kushoto katikati), akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta yaUjenzi), Arch. Elius Mwakalinga, (hayupo pichani) mara baada ya Sekta yake kuwasilisha taarifa ya hesabu zake mbele ya Kamatihiyo, jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Asha-RoseMatembe, akitoa maoni yake kwa Katibu Mkuu wa Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. EliusMwakalinga (hayupo pichani), mara baada ya Katibu Mkuu huyokuwasilisha taarifa ya hesabu za Sekta yake kwa Kamati hiyo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzina Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, (hayupopichani), wakati akiwasilisha taarifa ya hesabu za Sekta yakembele ya kamati hiyo.PICHA NA WWU
Your Ad Spot
Oct 24, 2019
KAMATI YA BUNGE YA PAC YARIDHISHWA NA HESABU ZASEKTA YA UJENZI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇