LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2019

HERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TAMZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Leo Oktoba 29, 2019, Rais Magufuli anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. 

Rais Magufuli alizaliwa tarehe kama ya leo Oktoba 29, 1959 na ametimiza miaka 60, tunamtakia afya njema na Mungu azidi kumuongoza katika majukumu yake na kuwaombea wazazi wake popote walipo Mungu awalipe malipo mema

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages