LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 2, 2019

CHANGAMKIA SHAMBA MURWA LINALOFAA KWA PARACHICHI LINAUZWA KWA BEI CHEE NJOMBE


Wadau mnaopenda Kilimo Biashara cha Parachichi, karibu mnunue shamba linalofaa kwa zao hilo lililopo katika Kijiji cha Luvuyo, mpakani mwa wilaya ya Njombe na Ludewa mkoani Njombe.
Shamba hilo lililopo katika safu za Mlima Livingstone, udongo wake umepimwa pia lipo kwenye mwinuko kutoka usawa wa bahari (Altutude) Mita  1400 hali ya hewa inayofaa kwa Parachichi pamoja na mazao mengine kama vile Apple, Peas, Passion, njegere na karanga pori.Shamba lina ukubwa wa hekari 60 na kila hekari huuzwa sh. 300,000.
Karibuni sana.
Mawasiliano;Rich;0754264203,0715264202,0689425467


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages