LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2019

BASI LAZAMA KATIKA SHIMO

Shimo la kuzama lilifunguka katikati mwa jiji la Pittsburgh, Pennsylvania jana asubuhi na kupelekea sehemu ya basi kuzama na kumjeruhi mtu mmoja aliyekuwa kwenye basi hilo.

Ajali hiyo ilitokea katika barabara ya mji wa Penn wakati basi hilo lilisimamishwa kwenye taa za trafiki, Mamlaka ya Bandari ya Kaunti ya Allegheny iliandika kwenye mtandao wa twitter.

Kwa mujibu wa  Idara ya Usalama ya Pittsburgh watu wawili walikuwa kwenye basi, na mmoja alikuwa akisafirishwa kwenda hospitalini akiwa na majeraha madogo,.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages