LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2019

WAJUMBE WA CHAMA CHA WATAALAMU WA KINYWA NA MENO WAMTAKIA KUMBUKIZI WAZIRI UMMY MWALIMU

 Wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania. (Tanzania Dental Association TDA) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa MHE. Ummy Mwalimu (Mb) Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. wakiongozwa na Rais wa Cha hicho Dkt. Ambege Mwakatobe (watatu kushoto) (PICHA NA KHMISI MUSSA) 



No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages