LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2019

USIKU WA OSMUNDA NDUNGURU

 Bi Harusi mtarajiwa Osmunda Ndunguru akiwa katika pozi baada ya kupambwa kwa ajili ya Sherehe yake fupi ya kuagwa inayotarajiwa kuanza muda mfupi ujao katika Ukumbi wa Jeshi wa Uwake Hall uliopo Gongolamboto Dar es Salaam ambapo Sherehe fupi inatarajiwa kufanyika Octoba 21, 2019 katika Kanisa la Roma Katoliki la Songea Mbinga Mkoa wa Ruvuma Kijiji cha Mkumbi ambabapo anatarajiwa kufunga Pingu za maisha na Edson Komba. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)


 Bi Harusi mtarajiwa Osmunda

 Bi Harusi mtarajiwa Osmunda akipambwa katika Saloon iliyopo Mombasa Jijini Dar es Salaam 
 Bi Harusi mtarajiwa Osmunda akiwa katika pozi




 Bi Harusi mtarajiwa Osmunda akiwa katika pozi kabla ya hafla yake ya kuagwa (Send Off) katika ukumbi wa Jeshi wa Uwake Hall uliopo Gongolamboto Dar es Salaam 
    Bi harusi Mtarajiwa Osmunda akiwa katika Picha ya pamoja na wapambe wake katika maandalizi ya hafla ya kuagwa kwake ukumbi wa Jeshi wa Uwake Hall uliopo Gongolamboto Dar es Salaam 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages