LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 11, 2019

SPIKA NDUGAI AKAUTANA NA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAENDELEO ENDELEVU JIJINI DODOMA

    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Maendeleo Endelevu Mhe. Augustine Vuma na anayefuatia ni Afisa Mwandamizi wa Policy Forum Bi. Prisca Kowa na wengine ni Maafisa wa Jukwaa hilo.


    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Bw. Richard Angelo, Bi. Getrude Mugizi, Bi. Vivian Ngowi, Bw. Augustine Vuma, Bi. Prisca Kowa na Bi. Iman Khatib.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  akiagana na na Ujumbe kutoka Jukwaa la Maendeleo Endelevu Ofisi kwake Jijini Dodoma
PICHA NA BUNGE

1 comment:

  1. Attractive section of content. I just stumbled upon your weblog and in accession capital to assert that I acquire actually enjoyed account your blog posts.
    Any way I'll be subscribing to your augment and even I achievement you access consistently rapidly.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages