LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 2, 2019

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE TANZANIA BARA IKULU DAR ES SALAAM

Rais Maguduli amekutana na kuzungumza na Watendaji wa Kata kutoka katika Mamlaka ya Serikali za kata zote Tanzania Bara katika Bustani za Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam ikiwa ni kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru kushuhudia Watendaji wa Kata wakiingia Ikulu kwaajili ya kuzungumza na Mhe. Rais.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages