LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2019

RAIS MAGUFULI ANAZINDIUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Rada mbili (2) za kuongozea ndege za Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Hafla inayofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages