LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2019

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT. ABBAS AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KITUO CHA RADIO CITY FM NA IKIWEMO HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MNH)

  Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas (kulia) akifafanua jambo katika ziara yake  yakutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri  ya Jiji la Dar es Salaam.
 Mkuu wa Kitengo cha Itifaki, Uhusiano na Umma, Gaston Makwembe (kushoto) akifafanua jambo katika ziara iliyofanywa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas yakutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
 Dkt. Hassan Abbas (kushoto) akifafanua jambo katika kitengo cha utalii cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
 : Dkt. Hassan Abbas (kushoto) akiwafafanulia jambo Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (hawapo pichani) leo Jijini Dar es salaam. Kulia ni Dkt.Hedwiga Swaia
 Dkt. Hedwiga Swai akielezea mfumo wa matumizi ya mashine ya Imaging Resonance Magnetic (IMR) katika chumba maalum cha uchunguzi wa magonjwa katika Hospitaliya Taifa yaMuhimbili, leo Jijini Dar es Salaam.
 Dkt. Patrick akionesha mfumo unaotumika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakuingiza majina na maelezo ya wagonjwa na mpango wa kuwahudumia kupitia kompyuta.

Mtaalam wa kutumia CT scan mashine akielezea jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi na idadi ya watu inayohudumia kwa siku katika Hospitaliya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages