Semina hiyo iliyoandaliw na TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam itadumu kwa siku tano kuanzia Septemba 23 hadi 27, 2019. Kamamati ya uratibu wa semina imekutana kwa malengo ya kupanga mkakati wa kufanikisha Semina ya kuwezesha viongozi wa matawi, waajiri na wadau wengine ili kudumisha ufanisi wa kazi na kutoa ahuduma bora na salama
Semina hii inaratibiwa na Katibu wa TUGHE Ilala na itaongozwa na Mwenyekiti wa semina Ndugu Ibrahim Nuru Mmbaga.
Semina ni muendelezo wa semina tuliyoifanya Mkoa wa Mtwara na tuka azimia Semina hizi ziwe endelevu na kwa umuhimu wa pekee tunawashukuru waajiri wote ambao ndio wawezeshaji wa semina hii alisema Bi Tabu Mambo.
Bi tabu Mambo kwa niba ya TUGHE ana washukuru kipekee viongozi wa matawi na waajiri kwa jinsi wanavyotoa michngo yao ya hali na mali bila kuchoka. Anaamuomba Mungu awajaalie wote afyaaa njema na mafanikio katika shughuli zao.
Mwenyekiti wa Semina Ndugu Ibrahim Nuru Mmbaga akislimia washiriki. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mdhamini wa TUGHE Dkt. Yonah Mabela (kulia) akikagua shughli za maandalizi ya semina
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇