Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Naibu Balozi wa Zimbabwe Nchini Mhe. Martin Tavenyika
alipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa Zimbabwe Nchini Tanzanai kwa ajili
ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha
aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe alipofika katika Ubalozi
wa Zimbabwe Oysterbay Jijini Dar Es Salaam leo Septemba 12, 2019.(Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Your Ad Spot
Sep 12, 2019
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA ZIMBABWE
MAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA ZIMBABWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇