LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2019

MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MSIBA WA MUGABE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Taifa  wa Michezo Jijini  Harare Zimbabwe katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa zamzni na muasisi wa Nchi hiyo Robert Mugabe anayetarajiwa kupumzishwa katika nyumba ya makazi yake ya milele leo 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages