Jeshi la Polisi limezuia maandamano ya wanafunzi zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, kisha kuwakamata baadhi yao baada ya kufunga barabara wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya milioni 75 za malipo ya ada.
Shinikizo hilo linachukuliwa na Wanafunzi hao baada kuzuiliwa kuingia kwenye chumba cha mtihani kutokana na Malipo yao ya Ada waliyolipa kupitia Benki kutoonekana kwenye account ya chuo hicho
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇