Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya vurugu katika jimbo la mashariki mwa Indonesia la Papua imeongezeka hadi 24, huku wengine 72 wakijeruhiwa.
Mamia ya waandamanaji waliokasirika siku ya jana waliteketeza nyumba na majengo mengine huko Wamena na Waena wakati wa mkutano wa hadhara uliosababishwa na uvumi kwamba mwalimu wa shule ya upili aliwatukana wanafunzi kwa maneno ya ubaguzi, lakini polisi walithibitisha uvumi huo haukuwa wa kweli.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇