Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) akishangilia na Bukayo Saka baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji, Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Saka alifunga bao la pili dakika ya 85 na Aubameyang la tatu dakika ya 87 baada ya Joe Willock kufunga la kwanza dakika ya 38
Your Ad Spot
Sep 20, 2019
Home
Unlabelled
AUBAMEYANG AENDELEZA MOTO WA MABAO ARSENAL IKIWACHAPA WENYEJI, EINTRACHT FRANKFURT 3-0
AUBAMEYANG AENDELEZA MOTO WA MABAO ARSENAL IKIWACHAPA WENYEJI, EINTRACHT FRANKFURT 3-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇