LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 20, 2019

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura alipomtembela leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo alimtembelea Spika Ndugai kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages