LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 16, 2019

RAIS WA SHELISHELI ATUA NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA SADC

Rais wa Shelisheli, Danny Faure, amewasili Nchini na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kabisa kwa mkutano wa 39 wa SADC  unaotarajia kuanza kesho.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages