Rais Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku
mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.
mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.
Rais Ramaphosa akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya uhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.
Ramaphosa akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi anachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.
Ramaphosa akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Wenginekutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo, Mkuu wa Wiklaya ya Kigamboni Sarah Misafiri na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.
Ramaphosa akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni Kamanda wa Kanda Mazlumu ya Kipolisi ya Dar es salaam Lazaro ambosasa. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇