Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Ibrahim Sayida Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.
Jaji Mstaafu Mipawa anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Januari Msofe ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇