LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2019

MZEE WA MIAKA 109 ALIPIWA GHARAMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME NA SERIKALI

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akibadilisha historia ya mzee wa miaka 109, Ramadhani Manga na kumlipia gharama za umeme na kuagiza kuunganishiwa umeme haraka. Mzee Manga ni mkazi wa kijiji cha Muungano, wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages