LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 11, 2019

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI ATUA MOROIGORO AJALI YA LORI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewasili katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa waliokuwa wamekusanyika ili kuwatambua ndugu na jamaa zao pia na majeruhi waliokuwa wamelazwa hospitalini hapo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimpa pole moja ya majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea juzi eneo la Msamvu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea taarifa  kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro ACP Mtafungwa baada ya kuwasili eneo la tukio ilipotokea ajali ya lori lililokuwa limebeba mafuata aina ya petrol na kusababisha vifo vya watu 71 na majeruhi 59.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro alivyotua Morogoro Kuwafariji Waf

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages