Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi wakati alipoiwakilisha serikali katika mazishi ya Mke wa mwanasheria Mkuu wa Serikali, Natalia Bahati Kilangi yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019.
Majaliwa akizungumza katika mazishi ya Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019.
Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwa Waziri Mkuu) wakishiriki katika ibada ya mazishi ya Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi yaliyoanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi katika mazishi yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019.
Majaliwa akitupa udongo kwenye kaburi la Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, katika mazishi yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Serikali, Profesa Adelardus Kilangi (wa pili kushoto) na familia yake wakishiriki katika Ibada ya mazishi ya Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanaza Agosti 7, 2019.
Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Profesa Kilangi, Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019.
Majaliwa akiwapa pole watoto Stephen Kilangi na Angel Kilangi (kulia) wote wakiwa ni watoto wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa, Adelardus Kilangi (wa tatu kulia) katika mazishi ya Natalia Bahati Kilangi, Mke wa Mwananasheria Mkuu wa Serikali yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 20129.
Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande na Askofu wa Jimbo la Geita, Flavian Kassala katika mazishi ya Natalia Bahati Kilangi, Mke wa mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi yaliyofanyika Luchelele jijini Mwanza, Agosti 7, 2019. (PICHA NA OFISI YA WZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇