LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2019

KOCHA WA ARSENAL ASHAURIWA KUMBA UNAHODHA DAVID LUIZ

Kocha wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo.

Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea Chelsea Kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni nane.

Beki wa zamani wa Arsenal, Nigel Winterburn, amesema kuwa Luiz atafaa kuwa nahodha wa Arsenal katika msimu huu wa 2019/20.

 "Nadhani itakuwa uamuzi sahihi kwa Emery kumfanya Luiz kuwa nahodha kwa msimu huu ana sifa za kuwa kiongozi," amesema.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages