KKKT waanza mchakato wa kumpata mrithi wa Askofu Dk. Fredrick Shoo
Tayari leo Jumanne Augusti 20, 2019 wajumbe hao wameanza kikao cha ndani ikiwa ni sehemu ya mkutano mkuu wa 20 wa kanisa hilo.
Ikumbukwe Mkuu wa Kanisa hilo hivi sasa, Askofu Dk Fredrick Shoo amemaliza muhula wa kwanza wa miaka minne na wajumbe hao wanaweza kumwongezea muhula wa mwisho au kumchagua mwingine.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇