LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 18, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA, kwa ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kilimanjaro, Julai 
18.2019. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU). 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili katika uwanja wa KIA, kwa ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kilimanjaro leo, Julai 18, 2019.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages