Mndeme, akiangalia na vikundi vya ngoma, kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina
Mndeme, akiangalia na vikundi vya ngoma, kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme na kulia ni
Mkuu wa Jiolojia TANCOAL.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mkaa wa mawe, uliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na wajasiriamali wa kikundi cha Mbalawala Women Group, wakati akikagua mabanda kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019. Tokea kulia ni Meneja wa Fedha wa kikundi hicho, Esta Silas na Msimamizi wa Mradi, Hajra Yakub.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa China Tanzania, Bwana ian Ding, wakati alipoipongeza Serikali ya awamu ya tano katika kuwaletea wananchi wake maendeleo, kwenye aonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji,yaliyofanyika katika Mkoa wa Ruvuma, Julai 25.2019.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kufungua maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua kitabu cha muongozo wa uwekezaji katika Mkoa wa Ruvuma, kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma. Julai 25.2019. Tokea kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje John Ndumbalo na Mkuu wa Mkoa
wa Ruvuma, Christina Mndeme.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇