LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2019

WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI YA POLISI, UHAMIAJI NA MAGEREZA JIJINI DODOMA, LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimpa hati ya kiapo Afisa Utumishi wa Wizara hiyo, Andrew Kiangi, kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa Askari wa Majeshi hayo. Tukio hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo jijini Dodoma leo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake. Kikao hicho kilifanyika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma, leo

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages