Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akikata keki iliyoandaliwa na wafanyakazi
wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kumpongeza baada ya kuteuliwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitatu
kuanzia Julai 16, 2019.
Mfanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Justina Lugali akimpatia ua la pongezi lililotolewa na wafanyakazi wa Taasisi
hiyo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi wakati wa hafla fupi
ya kumpongeza baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi
hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitatu kuanzia Julai 16, 2019.
Picha na JKCI
Your Ad Spot
Jul 17, 2019
Home
featured
habari picha
WAFANYAKAZI WAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDJI MARA BADA YA KUTEULIWA TENA NA RAIS
WAFANYAKAZI WAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDJI MARA BADA YA KUTEULIWA TENA NA RAIS
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇