Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2019, Mzee Mkongea Ali (katikati) Akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry Kilichopo Tegeta wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry, Celina Koka,Kulia Kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Daniel Chongolo na Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Maulid Mtolea. Picha Zote na Elisa Shunda
Wakimbiza Mwenge Kitaifa Wakikagua Mikataba na Mashine za EFD Kabla ya Uzinduzi wa Kiwanda Hicho.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry, Celina Koka Akiwa Ameshika Mwenge wa Uhuru Baada ya Kupewa Nafasi ya Upendeleo kwa Kiwanda Chake Kuwa katika Ubora wa Hali ya Juu Pamoja na Kufuata Taratibu zote za Kisheria za Nchi Ikiwemo ya Mikataba kwa Wafanyakazi Wanaofanya Kazi katika Kiwanda Hiko.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa Mwaka Huu,Mzee Mkongea Ali Akipata Maelezo ya Utengenezaji wa Nguo na Logo Mbalimbali za Nguo Kabla ya Kukifungua Kiwanda Hiko. Kulia Kwake ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry, Celina Koka.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa Mwaka Huu,Mzee Mkongea Ali Akiongozana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry, Celina Koka (katikati) na Viongozi wengine Kukagua Nguo Zinazotengenezwa na Kiwanda Hiko Kabla ya Kukifungua.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry, Celina Koka, Akisoma Risala Mbele ya Viongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa.
Kikundi cha Ngoma Kutoka Tegeta Kikitoa Burudani Wakati wa Uzinduzi wa Kiwanda Hicho.
Mama Celina Koka,Familia,Ndugu na majirani Wakicheza Muziki Baada ya Kampuni yao ya Cherry Kufunguliwa na Wakimbiza Mwenge Kitaifa.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ushonaji wa Nguo ya Cherry Celina Koka (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
NA:ELISA SHUNDA,DAR ES SALAAM.
UFUNGUAJI wa Kiwanda cha Ushonaji wa Nguo cha Cherry
Uniforms Solutions Limited Kilichopo Tegeta wilayani Kinondoni Umeleta Matunda
kwa Wakazi wa Eneo Hilo Haswa Wenye Magari Ambao Walikuwa Wakipita kwa Shida
Kutokana na Udogo wa Barabara Iliyokuwa Imezuiliwa na Mmoja Kati ya Wakazi wa
Eneo Hilo Ambaye Ni Mfugaji wa Kuku Lakini kwa Ufunguzi wa Kiwanda Hicho
Kupitia Mkimbiza Mwenge Kitaifa Umewezesha Kuondoa Kero Hiyo.
Akizungumza katika Ufunguaji wa Kiwanda hicho,Mkimbiza
Mwenge Kitaifa, Mzee Mkongea Ali, Alisema Kuwa Wakati Anakuja katika Ufunguzi
wa Kiwanda Hicho Alipata Taarifa ya Mmoja wa Wakazi katika Eneo hilo Kujenga
Banda la Kuku katika Barabara na Kusababisha Njia Kuwa Ndogo Ila kwa Ufunguaji
wa Mwenge wa Uhuru kwa Kiwanda Hicho Umewezesha Kufunguliwa kwa Barabara Hiyo
Sasa Inapitika Vizuri.
“Wakati Tunakuja Kufanya Uzinduzi wa Kiwanda Hiki cha
Cherry Tulipata Taarifa Barabara ya Kuja Kwenye Kiwanda Hiki Kuna Mtu Mmoja
Alijenga Kinyume cha Utaratibu wa Serikali ila Kwa Ufunguzi Wa LeoTumefanikisha
Sasa Wananchi Kupita Bila Changamoto Yoyote Mimi na Wenzangu Tumeshuhudia
Barabara Hii Greda Imechonga Vizuri Inapitika Safi Kabisa;
“Nimpongeze Mkurugenzi wa Kiwanda Hiki Mama Koka kwa
Kuheshimu Mamlaka ya Nchi kwa Kutimiza Masharti Yote ya Ufunguaji wa Kiwanda,
Mimi na Wenzangu Tumejilidhisha kwa Kuangalia Mikataba ya Wafanyakazi Pamoja na
EFD Mashine kwa Ajili ya Ulipaji wa Kodi na Kuongeza Pato kwa Serikali Yetu,
Rais Dk.John Magufuli Anahimiza Wadau Mbalimbali Wenye Uwezo Kufungua Viwanda
Vikubwa na Vidogo Ili Kuwezesha Wakazi wa Eneo Husika Kupata Ajira Pamoja na
Maendeleo kwa Ujumla” Alisema Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Mzee Mkongea
Ali.
Awali Akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi, Mkurugenzi wa
Kiwanda Hicho,Celina Koka, Alisema Kuwa Kukamilika kwa Kiwanda Hicho
Kumewezesha Kuajiri Wafanyakazi 22 Wenye Mikataba Ya Kudumu Wakiwemo Walemavu
na Kuwapa Kipaumbele Wanawake, Lakini Pia Kiwanda Hiko Kitashona Nguo
Mbalimbali Kutoka Taasisi za Serikali na Zisizo za Kiserikali,Ujenzi wa Kiwanda
Hicho Umegharimu Shilingi Milioni 500.
Mwishoo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇