Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kura za maoni katika mwendelezo wa mchakato wake wa kupata mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Mashariki, ambalo lipo wazi kufuatia aliyekuwa Mbunge wake Tundu Lissu kuvuliwa ubunge kwa mujibu wa Katiba kutokana na utoro,
Majina ya waliopita kwenye mchakato na viwango vya kura walizopata, hawa hapa.
1. MIRAJI JUMANNE MTATURU- 396
2. MGONTO THOMAS KITIMA - 79
3. CHIKU GALAWA -40
4. LISSU MARTIN ZEPHANIA- 29
5. MSARU LAZRO MSENGI - 17
6. HAMISI ABEL MAULIDI- 12
7. MWANAHAMISI MUNJORI -7M
8. ARIAMU ALU NKUMBI- 7
9. IHONDE JEREMIA MATHIAS - 4
10. MKHOTYA MORICE PATRICK- 4
11. MEDA SLYVESTER KORNELI-3
12. HUME EMMANUEL JAPHET- 1
13. KULWA SHILINDE KASULE -1
Your Ad Spot
Jul 10, 2019
MTATURU AONGOZA KURA ZA MAONI CCM JIMBO ALILONG'OKA LISU SINGIDA
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇