LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2019

MKAPA AZINDUA SAFARI YA SAUT KUELEKEA JUBILEI YA FEDHA.


Mkapa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa safari ya miaka mitano ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT) kuelekea Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa hicho mwaka 1998. Uzinduzi huo umefanyika kwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la ukumbi wa mikutano unaojengwa kwa matumizi ya kitaaluma na kijamii.  Wa pili kushoto ni wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha SAUT na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita Askofu Flavian Kassala na Makamu wa Mkuu wa Chuo Balozi Prof. Costa Ricky Mahalu (wa tatu kutoka kulia).

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Mkapa (kulia) akipata maelezo kutoka mmoja wa wanachuo wa SAUT wakati wa maonesho ya kitaaaluma chuoni hapo.
Mkapa akiongea na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa safari ya miaka mitano ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT) kuelekea Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa hicho mwaka 1998. 
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha SAUT na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita Askofu Flavian Kassala akiongea na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa safari ya miaka mitano ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT) kuelekea Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa hicho mwaka 1998.
Mkapa (kulia) akisalimia na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha SAUT na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita Askofu Flavian Kassala wakati wa uzinduzi wa safari ya miaka mitano ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT) kuelekea Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa hicho mwaka 1998.

Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa miaka 20 na safari ya miaka mitano ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT) kuelekea Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1998.
(Picha na Gehaz Makoga na Abubakari Yusuf-SAUT)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages