LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 12, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA VIETNAM.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, katika mazungumzo ya faragha yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,  Trinh Dinh Dung (wa pili kulia)  katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa  Ofisi ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,  Trinh Dinh Dung  (kulia)  katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa  Ofisi ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.
Majaliwa  akimkabidhi  zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019. 
Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung wakitoka ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam baada ya mazungumzo yao, Julai 12, 2019. 
Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,Trinh Dinh Dung wakigonganisha glass katika chakula cha mchana alichoandaa Waziri Mkuu wa Tanzania  kwa heshima ya mgeni huyo kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages