LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2019

KIPIMO CHA DENGUE BILA MALIPO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameeleza kuridhishwa na jitihada zinazochukuliwa na Manispaa ya Ilala kuhusiana na ugonjwa wa Dengue huku akiwataka wananchi kuwajibika katika kuhakikisha wananunua dawa ya kuteketeza mazalia ya mbu wanaosababisha ugonjwa huo.

Waziri Ummy ameongeza kuwa Serikali inajitahidi kuendelea jitihada ya kupambana kipimo huku kipimo cha ugonjwa huo kikiwa ni bure

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages