LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2019

BASI LAKAMATWA ARUSHA, ABIRIA WASHUSWA

Muwakilishi wa usalama barabarani wilaya ya Monduli kwa kushirikiana na askari wengine chini ya usimamizi wa RTO wa mkoa wa Arusha Charles Bukombe wamefanya oparesheni maalum katika mabasi yanayofanya safari zake kutoka jijini Arusha Kwenda Wilayani Monduli Waso ambayo yalikuwa yamejaza abiria zaidi ya idadi inayotakiwa.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages