LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 14, 2019

AZUNGUMZA NA WANACHAMA WA WILAYANI NA KIGOMA VIJIJINI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Kigoma Vijijini, Peter Serukamba wakati aliopowasili kwenye  ukumbi wa NSSF mjini Kigoma kuzungumza na Viongozi wa CCM kutoka wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini, Juni 14, 2019. wa pili kushoto ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako. 
Baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.
Majaliwa akizungumza na viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.  Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus  Nzamba. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages