LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2019

AZINDUA MRADI WA MAJI HEDARU WILAYANI SAME

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mhandisi wa Maji Wilaya ya Same Mussa Msangi, wakati akikagua mradi wa maji wa Lengeni-Hedaru, wilayani Same kabla ya kuuzindua, Julai 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mradi wa maji wa Lengeni-Hedaru, wilayani Same, Julai 19.2019. Tokea kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Anne Shija, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Mwenyekiti wa (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patric Boisafi, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Awesu. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimtwisha ndoo ya maji Mkazi wa Hedaru, Mary Fue, baada ya kuzindua mradi wa maji wa Lengeni-Hedaru, uliyopo wilayani Same, Julai 19.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mhandisi wa Maji Wilaya ya Same Mussa Msangi, wakati akikagua mradi wa maji wa Lengeni-Hedaru, wilayani Same kabla ya kuuzindua, Julai 19.2019. 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Hedaru, baada ya kuzindua mradi wa maji wa Lengeni-Hedaru, uliyopo wilayani Same, Julai 19.2019.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages