LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2019

ASKARI WA MAREKANI AUAWA AFGHANISTAN

Askari wa Marekani aliyehudumia majeshi ya NATO nchini Afghanistan ameuawa.


Vikosi vya NATO nchini humo vimetoa  taarifa kuhusu kifo cha mwanajeshi huyoaliyekua akiitumikia Marekani nchini Afghanistan.

Kuna askari 14,000 wa Marekani nchini Afghanistan.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages