LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2019

JWTZ ''HAKUNA ATAKAYE PONA LABDA AHAME NCHI''


Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limebaini baadhi ya waombaji, viongozi wa serikali na watumishi jeshini wanashiriki mbinu zinazokiuka utaratibu katika uandikishaji wa vijana watakaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT).

Mkurugenzi wa Habari JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema licha ya taratibu kuwa wazi, viongozi hao wanatumia nafasi zao kupenyeza ushawishi ili ndugu, jamaa au rafiki zao wasajiliwe hivyo uhakiki utafanyika na hatua za kisheria zitachukuliwa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages