RAIS Dkt. John Magufuli amemteua
Dkt. Mussa Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).
Uteuzi wa Dkt. Mussa Juma unaanza
leo tarehe 25 Juni, 2019.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mussa
Juma alikuwa Mkuu wa Idara ya Bima katika Kitivo cha Bima na Hifadhi ya Jamii
cha Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇