Muwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt Mtemi Buriani (kushoto) akimkabidhi mhitimu cheti cha kuhitimu mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi yaliyohitimishwa leo.
Mkurugenzi wa Tiba wa MOI Dkt Samuel Swai akimkabidhi mhitimu cheti cha kuhitimu mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi yaliyohitimishwa leo.
Ibrahim Mwita ambaye ni kiongozi wa wahitimu akitoa neno la shukrani kwa Serikali, Taasisi ya MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuwawezesha kupata mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi.
1. Wahitimu wa mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi wakiwa katika
picha ya pamoja na walimu wao pamoja na viongozi wa juu wa Taasisi ya Mifupa
MOI na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇