LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA CHUO CHA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHA WILAYA YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma

Sehemu ya Wananchi wa Namtumbo waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma. (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages