LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 16, 2019

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akimkaribisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dk. John Magufuli kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma.


Pamoja na mambo mengine kikao hicho kimemteua John Pallangyo kuwa mgombea wa CCM wa katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki.


Tume ya Uchaguzi ilitangaza uchaguzi mdogo katika jimbo hilo kuwa ni Mei 19 na Jimbo hilo la Arumeru Mashariki lilikuwa wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wake Joshua Nassari kuvuliwa ubunge na Spika kutokana na kutohudhuria vikao vitatu.

Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa NEC jana mchana jijini Dodoma wakiogozwa na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho.
Advertisement

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages