Rais Magufuli Magufuli amefungua Kituo cha Afya cha Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Ni moja ya Vituo vya Afya 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara katika Awamu ya Tano na ni miongoni mwa Vituo vya Afya 352 vilivyojengwa nchi nzima katika Awamu hii ya Tano.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇