LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 1, 2019

PACHA WA MO DEWJI ATINGA MECHI YA SIMBA NA MBAO

Pacha wa Mo Dewji atikisa mechi ya Simba/ Afunguka kuhusu timu yake

Mtu mmoja ambaye amefanana sana na bosi wa Simba, Mohammed Dewji, amewashtua mashabiki katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro wakati wa mcezo wa ligi kuu kati ya Simba na Mbao. Pia mtu huyo amefunguka kuhusu mapenzi yake kwa timu ya Simba.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages